Mohamed mohamed

Mohamed mohamed

12-09-2022

20:38

Wataalamu Kutoka Chuo Kikuu Cha HARVARD Wagundua Formula ya Siri Inayotumiwa na 1% ya Marketers Kutengeneza Mamilioni ya PESA Mtandaoni” . Formula Hii unayoenda kuigundua ndani ya sekunde 60 zijazo itakufanya Kuwa mtu Hatari Zaidi Sokoni 👇🏻👇👇

Kabla hujaenda Mbele zaidi Naomba utambue kwamba Formula Hii sio Kwa ajili ya Kila mtu ni Maalumu Kwa wale tu Wanaouza Huduma Mtandaoni Kama.... . Consultants . Coaches . Courses Creators Freelancers nk ...Hata Kama umeshajaribu kila njia ya kuuza huduma 👇

Yako mtandaoni na Umefeli basi Siri hii Itakuwa ni zaidi ya wali Nazi kwako... . Wote tumeshasikia au kuambiwa na Wataalamu mbali mbali kwamba njia rahisi Zaidi ya Kuuza mtandaoni ni... . —Kulipia Matangazo Facebook & Instagram . —Kuwa na huduma Bora... . 👇🏻

—Kupunguza bei ya huduma . —Kuwatumia influencers Nk . “SIO KWELI KABISA” . Na Hii Ndio Sababu... . 2019 ulifanyika utafiti Mdogo miongoni mwa Wataalamu & Marketers wakubwa na wanaotengeneza Pesa nyingi zaidi mtandaoni kwa Kuuza huduma Zao . Na matokeo ya 👇🏻

Utafiti huo yalikuwa ni haya Hapa... . “Zaidi ya 98% ya Top Marketers Walisema Pesa Mtandaoni Zipo Kwenye Kitu Kinachoitwa—FUNNEL” . Najua utakuwa unajiuliza FUNNEL Ndio nini?... . RELAX— nitavunja vunja kila kitu kwa ajili yako... Hii Ndio maana ya Funnel👇🏻

FUNNEL ni Chujio la Wateja mtandaoni... . Huu ni mfumo wa Mauzo mtandaoni unaomchukua mteja Kuanzia anapoona Tangazo lako Facebook au Instagram akiwa hajui chochote kuhusu wewe wala bidhaa/huduma yako na Kukufanyia mauzo Bila ya Uwepo au ushiriki wako wa👇🏻👇

Moja kwa moja Kwenye Mauzo . Kwa Lugha nyingine tunasema—“Online Automated sales System” . Ukweli ni kwamba kama unapata changamoto Kuuza huduma yako mtandaoni . “Huna tatizo la Kukosa wateja—Una Tatizo la Kukosa FUNNEL au Chujio la wateja” . 👇🏻

Ngoja nikupe kionjo kidogo Hapa chini... . Mtandaoni utakutana na wateja wa aina tatu... . 1) wateja wa Baridi (Cold Traffic) . 2). Wateja wa Uvugu uvugu (Warm Traffic) . Na 3) wateja wa Moto (Hot Traffic) . Na huwezi Kuuza huduma yako kwa hawa wateja wote 👇🏻

Kwa kutumia Tangazo la aina MOJA... . Kwanini?... . Kwasababu kila mteja Hapa ana uelewa tofauti Juu ya wewe, huduma yako Pamoja na yeye mwenyewe . Kwahiyo kazi Kubwa ya FUNNEL ni Kuwafanya hawa wateja wote wa aina Tatu wawe kitu kimoja na waelewe Ujumbe👇🏻

Wako na kutii kauli moja . Na Leo nitakupa Simple Funnel ambayo ni Manual ukiacha zile Templates za kwenye Clicks-funnel za Kulipia Pesa . Kwanini?.. . Kwasababu unaweza ukatumia FREE Simple Manual funnel na ukapiga Pesa online kwa kuuza huduma yako 👇🏻

Funnel nnayokupa ni ya kutumia Facebook, Instagram au Twitter kufanya sales bila Kutumia Nguvu kabisa . Hii Hapa chini.... . “(Facebook + Instagram + Twitter)▶️ Landing Page▶️Value Video▶️Call▶️Customer” . Imekuchangaya?... . Usijali—Nitaivunja vunja👇🏻

Na Haya Ndio maelezo ya hiyo FUNNEL Hapo Juu... . 1). Unaweka Tangazo lako Facebook, Instagram au Twitter (Aidha ni Paid au organic) 2). Landing page—ni sehemu unayotaka wafikie au waende wale wote wanaoona Tangazo lako 3). Value Video—Hii ni video yenye 👇🏻

Kukutambulisha wewe kwa Walengwa wako pamoja na kutoa Uthamani FREE Juu ya Tatizo Lao kabla ya Kusema chochote kuhusu huduma yako 4).Call—Baada ya Kupata madini kwenye video mwisho wa video ana-Schedule Call yaani anaweka Appointment ya Kuongea na wewe . 👇🏻

5). Baada ya Kukupigia simu unafanya kitu Kinachoitwa “Discovery Call” then booom anakuwa—MTEJA (Customer) Vipi umeanza kupata picha?... . Usijali Utaelewa zaidi ndani ya sekunde 30 zijazo... Je Utawezaje kuingiza Hiyo Funnel kwenye vitendo Kibongo bongo?👇🏻

Hapo tunabdilisha kitu kimoja ambacho ni Landing page... . Badala ile landing page ya Kulipia Fanya landing page yako iwe ni—WhatsApp business yako . Kivipi?... . Andaa Tangazo lako zuri la huduma yako aidha ni la Kulipia au organic Kisha Post Kwenye 👇🏻

Facebook, Instagram au Twitter Account yako... . Na Hii Ndio Siri ya Tangazo zuri la Kulipia... . “Hakikisha 80% ya Tangazo lako ni Madini sio Tangazo” . Yaani mteja asilione kama ni Tangazo Bali ni kitu chenye Uthamani kwake au mtu anayemjua . 👇🏻

Na hiyo itamfanya alike, acomment, au Ku-share Kadri Tangazo lako linavyopata Engagements Kubwa ndivyo Facebook, Instagram, Twitter wanavyotengeneza Pesa na ndivyo wanavyolipush zaidi Kwasababu ya kitu kinachoitwa—Relevances score (Uzi wa siku nyingine)👇🏻

Kisha hilo Tangazo linakuwa na link ya kwenda WhatsApp... . Wakati huo tayari umeshatengeneza Video yenye Contents Hizi hapa chini... . 1). Wewe ni Nani 2). Unatatua Tatizo gani 3). Story yako yenye kisa cha kufanya unachokifanya 4). Shuhuda za Matokeo👇🏻

Ya unachokifanya aidha yako Mwenyewe au kwa wateja wako . Kisha Mwisho wa video—Unaweka Call to Action ya mteja kupiga Simu au kuweka Appointment kwa ajili ya Kitu Kinachoitwa “Discovery Call” . Hii inakuwa ni FREE Consultations ya Muda mfupi .

Katika hiyo Free Consultation unauliza maswali kwa mteja Kisha unagundua Tatizo then Boom una-Pitch kuhusu huduma yako And that’s HOW you Make Money Hii video Inakuwa aploaded kwenye YouTube Private Account kisha unacopy link na kupest kwenye Auto-reply ya WhatsApp👇

Business yako—ili mteja akitoka Tu Facebook, Instagram au Twitter baada ya kuona tangazo lako Akija WhatsApp anakutana moja kwa moja na link ya video ambayo itakuuzia kila kitu Automatically .


Follow us on Twitter

to be informed of the latest developments and updates!


You can easily use to @tivitikothread bot for create more readable thread!
Donate 💲

You can keep this app free of charge by supporting 😊

for server charges...